Taasisi ya Kilimo Endelevu Zanzibar (PPIZ) inafuraha kutangaza mafunzo ya kilimo endelevu (PDC) kwa Kiswahili.
Mafunzo yatafanyika tarehe 8 – 21 Juni 2025.
Ada ya Mafunzo ni TZS 750,000/= ambayo itajumuisha ada ya mafunzo, malazi, chakula pamoja na safari za mafunzo nje ya kituo.
Maswali yanayohusiana na mafunzo tafadhali wasiliana nasi kwa +255 773 900 593 | permaculturezanzibar@gmail.com